Friday, August 30, 2019

Sunday, August 25, 2019

HAKUNA MSALABA, HAKUNA MAISHA!



HAKUACHA HATA MMOJA! BALI WOTE WALIOMPOKEA ALIWAPA UWEZO WA KUFANYYIKA KUWA WATOTO WA MUNGU.
WAEBRANIA 12:24  " na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili. "



Friday, August 23, 2019

BARA LILILOBARIKIWA



WAAFRIKA HAWAKUTOKANA NA NYANI! WALA MWANADAMU CHIMBUKO LAKE SI NYANI? MTU WA KWANZA ADAMU HAKUWA MZUNGU WALA MWAFRIKA...RANGI HIZI NI TULIZOZIPATA ZIMESABABISHWA NA MAZINGIRA TUNAYOISHI!


Tuesday, August 20, 2019

ISRAELI NA ASEME SASA.

ZABURI 118 

1 Haleluya. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele. 
2 Israeli na aseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.  
3 Mlango wa Haruni na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
  4 Wamchao Bwana na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
  5 Katika shida yangu nalimwita Bwana; Bwana akanijibu akaniweka panapo nafasi.  
6 Bwana yuko upande wangu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?  
7 Bwana yuko upande wangu, msaidizi wangu, Kwa hiyo nitawaona wanaonichukia wameshindwa.  
8 Ni heri kumkimbilia Bwana Kuliko kuwatumainia wanadamu. 
 9 Ni heri kumkimbilia Bwana. Kuliko kuwatumainia wakuu.

Sunday, August 18, 2019