Tuesday, August 27, 2019
Monday, August 26, 2019
Sunday, August 25, 2019
Friday, August 23, 2019
BARA LILILOBARIKIWA
Tuesday, August 20, 2019
ISRAELI NA ASEME SASA.
ZABURI 118
1 Haleluya. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.
2 Israeli na aseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
3 Mlango wa Haruni na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
4 Wamchao Bwana na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
5 Katika shida yangu nalimwita Bwana; Bwana akanijibu akaniweka panapo nafasi.
6 Bwana yuko upande wangu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?
7 Bwana yuko upande wangu, msaidizi wangu, Kwa hiyo nitawaona wanaonichukia wameshindwa.
8 Ni heri kumkimbilia Bwana Kuliko kuwatumainia wanadamu.
9 Ni heri kumkimbilia Bwana. Kuliko kuwatumainia wakuu.

Subscribe to:
Posts (Atom)
-
BWANA YESU ASIFIWE.
-
HAKUNA LINALOSHINDIKANA KWA YESU
-
Kulingana na KAMUSI huru, ya WIKIPEDIA Yesu Kristo anajulikana kama ifuatavyo.. inajulikana kama Yesu wa Nazareti na Yesu Kristo, alik...